Lugha Nyingine
Mafanikio Kumi ya uchumi wa China katika nusu ya kwanza ya Mwaka 2023 (9)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 30, 2023
Mfanyakazi akifanya kazi kwenye kiwanda cha Harbin Electric Machinery cha Harbin Electric Corporation huko Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China, Septemba 3, 2022. (Xinhua/Wang Song)
Tisa: Nguvu bora ya utoaji zaimarishwa zaidi
China imekuwa na mfumo kamili zaidi wa viwanda, uwezo kamili wa kutoa vifaa vihitajivyo, na mtandao wa miundombinu unaokamilika zaidi siku hadi siku. Katika nusu ya kwanza ya mwaka huu, zaidi ya nusu ya bidhaa muhimu za viwanda vya China zilikuwa na ongezeko la uzalishaji, zikichangia sana katika kutuliza bei za kimataifa na za ndani.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma