Lugha Nyingine
Mafanikio Kumi ya uchumi wa China katika nusu ya kwanza ya Mwaka 2023 (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 30, 2023
Watu wakila chakula kwenye Soko la Fushansuo katika Wilaya ya Shinan iliyoko Mji wa Qingdao, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Agosti 7, 2023. (Xinhua/Li Ziheng)
Sita: “Mafanikio ya hakika" yaonesha nguvu halisi na uhimilivu
Katika nusu ya kwanza ya mwaka huu, nafasi mpya za ajira milioni 6.78 zimetolewa katika miji, na wastani wa mapato ya matumizi ya wakazi uliongezeka kwa asilimia 5.8. China imesimama kithabiti katika nafasi ya nchi ya pili duniani kwa ukubwa wa uchumi na nchi ya kwanza duniani kwa ukubwa wa kazi ya viwanda, na sekta yake ya utengenezaji imeshika nafasi ya kwanza duniani kwa miaka 13 mfululizo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma