Lugha Nyingine
Mafanikio Kumi ya uchumi wa China katika nusu ya kwanza ya Mwaka 2023 (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 30, 2023
Picha iliyopigwa Agosti 14, 2021 ikionyesha kituo cha kuzalisha umeme kwa nishati ya maji cha Lianghekou kilichoko kwenye Mto Yalong katika Eneo linalojiendesha la Kabila la Wagarze la Tibetan, Mkoa wa Sichuan, Kusini-Magharibi mwa China. (Xinhua)
Saba: Soko kubwa laleta msukumo wa kutosha kwa maendeleo
Thamani ya jumla ya uzalishaji wa sehemu za kati na za magharibi nchini imechukua asilimia 22.1 na asilimia 21.4 za pato la taifa la China. Idadi ya makampuni yenye uwekezaji wa kigeni yaliyoanzishwa nusu ya kwanza ya mwaka huu iliongezeka kwa asilimia 35.7. Makampuni binafsi yaliyosajiliwa mwezi wa Aprili yalizidi milioni 50.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma