Lugha Nyingine
Mafanikio Kumi ya uchumi wa China katika nusu ya kwanza ya Mwaka 2023 (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 30, 2023
Treni ya mizigo inayotoa huduma kati ya China na Ulaya ikiondoka kwenye Bandari ya Kimataifa ya Xi'an huko Xi'an, Mkoa wa Shaanxi, Kaskazini-Magharibi mwa China, Machi 23, 2023. (Xinhua/Li Yibo)
Tano: Treni za China-Ulaya "zilizoendeshwa kwa kasi" zachangia msukumo mpya wa kufunguliwa mlango
Kufikia Julai 29, kwa jumla treni za China-Ulaya zilisafiri kwa mara 10,000 mwaka huu. Katika miezi saba ya kwanza, thamani ya uagizaji bidhaa na uuzaji bidhaa nje wa China kwa nchi zilizo kando ya "Njia Moja, Ukanda Mmoja" ilifikia Yuan trilioni 8.06, ikiwa na ongezeko la asilimia 7.4.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma