Lugha Nyingine
Mafanikio Kumi ya uchumi wa China katika nusu ya kwanza ya Mwaka 2023 (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 30, 2023
Picha hii iliyopigwa Julai 3, 2023 ikionyesha mikono ya roboti ikifanya kazi kwenye karakana ya uchomeleaji ya Kampuni ya Magari yanayotumia nishati mpya ya GAC Aion huko Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China. (Xinhua/Deng Hua)
Pili: Uchumi wa shughuli halisi waendelea zaidi
China inazalisha asilimia 50 ya zana na vifaa vya nishati ya upepo na asilimia 80 ya vifaa vya moduli ya umeme wa mwanga wa jua. Viwanda vya utengenezaji wa kiwango cha juu, wa teknolojia ya akili bandia, na bila kuchafua mazingira vimepiga hatua mpya.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma