Lugha Nyingine
Mafanikio Kumi ya uchumi wa China katika nusu ya kwanza ya Mwaka 2023 (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 30, 2023
Mtazamaji wa filamu akigusa skrini ili kupata tiketi kutoka kwenye mashine ya kujihudumia kwenye ukumbi wa sinema huko Guiyang, Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China, Januari 29, 2023. (Xinhua/Tao Liang)
Nne: Mauzo ya tiketi za filamu za China yapanda juu, na sekta ya utalii wa kitamaduni yastawi
Katika nusu ya kwanza ya mwaka huu, mauzo ya tiketi za filamu nchini kote China yaliongezeka kwa asilimia 52.9 kuliko kipindi kama hicho cha mwaka uliopita, na idadi ya watazamaji iliongezeka kwa asilimia 51.8. Mauzo ya rejareja ya huduma katika miezi saba ya kwanza yaliongezeka kwa asilimia 20.3 kuliko kipindi kama hicho cha mwaka uliopita, ikionyesha uhai wa soko la matumizi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma