Lugha Nyingine
Mafanikio Kumi ya uchumi wa China katika nusu ya kwanza ya Mwaka 2023 (10)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 30, 2023
Malori yakibeba makontena kwenye Bandari ya Ningbo-Zhoushan huko Ningbo, Mkoa wa Zhejiang nchini China, Januari 30, 2023. (Picha na Jiang Xiaodong/Xinhua)
Kumi: Uagizaji bidhaa na uuzaji bidhaa nje wavunja rekodi chini ya shinikizo
Uagizaji bidhaa na uuzaji bidhaa nje wa China kwa mara ya kwanza umezidi yuan trilioni 20 katika nusu ya kwanza ya mwaka. Hadi mwaka 2022, Bandari ya Zhoushan ya Mji wa Ningbo wa China imeshika nafasi ya kwanza duniani kwa miaka 14 mfululizo kwa idadi ya makontena yaliyopakia na kupakua bidhaa huko.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma