Kutokana na pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja”, China na nchi za Afrika zimekuza kwa ushirikiano mageuzi ya nishati barani Afrika. Hayo yamesemwa na Kamati ya Kitaifa ya Maendeleo na Mageuzi ya China kwenye mkutano na waandishi wa habari.
Kamati Kuu ya Maendeleo na Mageuzi ya China leo imetoa ripoti ya mwaka 2024 kuhusu maendeleo ya ujenzi wa pamoja wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”. Ripoti hiyo inaonesha kuwa hadi sasa nchi 52 za Afrika na Umoja wa Afrika zimesaini makubaliano na China kuhusu ujenzi wa pamoja wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”.
Mkutano wa viongozi wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024 utafanyika Beijing kuanzia tarehe 4 hadi 6 Septemba. Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa China katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanzania Prof.
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Lin Jian amesema upade wa China ungependa kushirikiana na upande wa Afrika kufunga safari mpya ya kufikia mambo ya kisasa na kutoa mchango kwa pamoja kwa ajili ya kuhimiza mambo ya kisasa ya dunia na maendeleo ya pamoja ya binadamu. Msemaji Lin Jian ameyasema hayo kwenye mkutano na wanahabari wakati alipojibu maoni ya wataalamu na wasomi wa Afrika kwamba China kwa ushirikiano wake na Afrika kweli itaisaidia kwa njia ya kiafrika ili bara hilo lifikie mambo ya kisasa? Na wamesema, pande hizo mbili zinatakiwa kushirikiana katika njia zao za kuleta maendeleo ya mambo ya kisasa.