久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Magofu ya Mji wa Kale wa Gedi nchini Kenya Yaorodheshwa kwenye Orodha ya Mali ya Urithi wa Dunia ya UNESCO (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 29, 2024
Magofu ya Mji wa Kale wa Gedi nchini Kenya Yaorodheshwa kwenye Orodha ya Mali ya Urithi wa Dunia ya UNESCO
Picha hii iliyopigwa katika Kaunti ya Kilifi, Kenya, Aprili 15, 2023 ikionyesha ramani ya magofu ya mji wa kale wa Gedi.(Picha ya kumbukumbuXinhua/Han Xu)

Mkutano wa 46 wa Mali ya Urithi wa Dunia wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) uliofanyika New Delhi, India, hivi karibuni umepitisha azimio la kuyaingiza magofu ya mji wa kale wa Gedi nchini Kenya kwenye Orodha ya Mali ya Urithi wa Dunia ya UNESCO. Mji huo wa kale wa Gedi, ulioko katika eneo la pwani ya Kenya, Kaunti ya Kilifi, ni mabaki ya mji wa Waswahili. Magofu yaliyopo sasa ya mji huo wa kale wa Gedi yamezungukwa na misitu minene ya asili, yakiendelea kuwa na mabaki ya nyumba za makazi, majengo ya dini, majengo ya mji na mifumo ya maji iliyokuwa imeendelezwa zaidi wakati huo. Yanaonyesha mpangilio wa mji huu uliowahi kustawi sana zamani na kuonyesha mitindo ya usanifu majengo ya ustaarabu wa Waswahili.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>