<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Kuingia kwenye Kijiji cha Olimpiki cha Paris

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 24, 2024
    Kuingia kwenye Kijiji cha Olimpiki cha Paris
    Picha iliyopigwa tarehe 23, Julai ikionesha jengo ambalo wachezaji wa ujumbe wa China wanaishi katika Kijiji cha Olimpiki cha Paris.

    Tarehe 23, siku ya Jumanne, kamati ya maandalizi ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya Paris iliwaalika waandishi habari kutembelea kijiji cha Olimpiki cha Paris. Kijiji hicho kinachukua eneo lenye ukubwa wa hekta 52 hivi na kinapatikana kwenye kitongoji cha Kaskazini cha Paris. Majengo zaidi ya 82 na maghorofa ya makazi karibu 3,000 yamejengwa. Wakati wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto, kijiji hicho kitapokea wachezaji na wafanyakazi zaidi ya 14,000, na wakati wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto kwa Walemavu ya mwaka huu kitapokea karibia watu 9,000.

    Picha na Hu Huhu/Xinhua

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av