<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Pilikapilika za Kuvuna?Matunda ya?Zabibu?katika Wilaya ya Feixi mkoani Anhui,?China

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 19, 2024
    Pilikapilika za Kuvuna?Matunda ya?Zabibu?katika Wilaya ya Feixi mkoani Anhui,?China
    Watalii wakiwa wamechuma zabibu katika shamba la ikolojia la jumuiya ya makazi ya Qiming, Kijiji cha Mingchuan, Wilaya ya Feixi, China, Julai 18.(Xinhua/Xu Yong)

    Hivi karibuni katika jumuiya ya makazi ya Qiming, Kijiji cha Mingchuan, Wilaya ya Feixi, Mji wa Hefei Mkoani Anhui, China zabibu shambani hatua kwa hatua zimeiva na wanakijiji wenyeji wameanza kuzichuma kwa ajili ya kuzipeleka sokoni, hali ambayo pia imevutia watalii wengi kuja kujionea uchumaji huo.

    Katika miaka ya hivi karibuni, kijiji hicho cha Mingchuan cha wilaya ya Feixi kimekuwa kikiendeleza upandaji wa zabibu wa kiikolojia na tasnia nyingine bainifu kwa kiwango kikubwa kulingana na hali ya eneo hilo, kikihimiza kikamilifu maendeleo ya kilimo chenye ufanisi na mapato ya wakulima, na kuchangia ustawishaji wa vijijini.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av