久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Pilikapilika za Kuvuna?Matunda ya?Zabibu?katika Wilaya ya Feixi mkoani Anhui,?China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 19, 2024
Pilikapilika za Kuvuna?Matunda ya?Zabibu?katika Wilaya ya Feixi mkoani Anhui,?China
Mtalii akichuma zabibu katika shamba la ikolojia la jumuiya ya makazi ya Qiming, Kijiji cha Mingchuan, Wilaya ya Feixi, China, Julai 18. (Xinhua/Zhou Mu)

Hivi karibuni katika jumuiya ya makazi ya Qiming, Kijiji cha Mingchuan, Wilaya ya Feixi, Mji wa Hefei Mkoani Anhui, China zabibu shambani hatua kwa hatua zimeiva na wanakijiji wenyeji wameanza kuzichuma kwa ajili ya kuzipeleka sokoni, hali ambayo pia imevutia watalii wengi kuja kujionea uchumaji huo.

Katika miaka ya hivi karibuni, kijiji hicho cha Mingchuan cha wilaya ya Feixi kimekuwa kikiendeleza upandaji wa zabibu wa kiikolojia na tasnia nyingine bainifu kwa kiwango kikubwa kulingana na hali ya eneo hilo, kikihimiza kikamilifu maendeleo ya kilimo chenye ufanisi na mapato ya wakulima, na kuchangia ustawishaji wa vijijini.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>