<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Magofu ya Mji wa Kale wa Gedi nchini Kenya Yaorodheshwa kwenye Orodha ya Mali ya Urithi wa Dunia ya UNESCO (5)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 29, 2024
    Magofu ya Mji wa Kale wa Gedi nchini Kenya Yaorodheshwa kwenye Orodha ya Mali ya Urithi wa Dunia ya UNESCO
    Picha hii iliyopigwa katika Kaunti ya Kilifi, Kenya, Aprili 15, 2023 ikionyesha sehemu ya magofu ya mji wa kale wa Gedi.(Picha ya Kumbukumbu/Xinhua/Han Xu)

    Mkutano wa 46 wa Mali ya Urithi wa Dunia wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) uliofanyika New Delhi, India, hivi karibuni umepitisha azimio la kuyaingiza magofu ya mji wa kale wa Gedi nchini Kenya kwenye Orodha ya Mali ya Urithi wa Dunia ya UNESCO. Mji huo wa kale wa Gedi, ulioko katika eneo la pwani ya Kenya, Kaunti ya Kilifi, ni mabaki ya mji wa Waswahili. Magofu yaliyopo sasa ya mji huo wa kale wa Gedi yamezungukwa na misitu minene ya asili, yakiendelea kuwa na mabaki ya nyumba za makazi, majengo ya dini, majengo ya mji na mifumo ya maji iliyokuwa imeendelezwa zaidi wakati huo. Yanaonyesha mpangilio wa mji huu uliowahi kustawi sana zamani na kuonyesha mitindo ya usanifu majengo ya ustaarabu wa Waswahili.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>