(Picha na Ju Peng/Xinhua) Rais Xi Jinping wa China tarehe 2 Jumatatu amekutana na Rais wa Mali Assimi Goita, ambaye yuko Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC). Viongozi hao wawili kwa pamoja wametangaza kuinua uhusiano baina ya nchi hizo mbili hadi kuwa wa ushirikiano wa kimkakati.
Asubuhi ya tarehe 3, Septemba, Rais Xi Jinping wa China akikutana na Rais Lazarus Chakwera wa Malawi, ambaye yuko Beijing kuhudhuria Mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024. (Picha na Huang Jingwen/Xinhua) Rais Xi Jinping wa China tarehe 3 amekutana na Rais Lazarus Chakwera wa Malawi, ambaye yuko Beijing kuhudhuria Mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024.
Asubuhi ya tarehe 3, Septemba, rais Xi Jinping wa China akikutana na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Moussa Faki Mahamat ambaye yuko Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika 2024. (Picha na Huang Jingwen/Xinhua) Rais Xi Jinping wa China tarehe 3 amekutana na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Moussa Faki Mahamat, ambaye yuko Beijing kuhudhuria Mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024.
(Picha na Zhai Jianlan/Xinhua) Rais Xi Jinping wa China tarehe 3 alikutana na Rais Mahamat Idriss Deby Itno wa Chad, ambaye yuko Beijing kuhudhuria Mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024.