Rais Xi Jinping afanya mazungumzo na rais wa Vietnam To Lam
|
Agosti 19, Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) alifanya mazungumzo na Rais wa Vietnam To Lam, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha Vietnam (CPV) anayefanya ziara ya kiserikali nchini China katika Jumba Kuu la Mikutano ya Umma la Beijing. Picha hii inaonesha Rais Xi Jinping wa China na mkewe Peng Liyuan pamoja na Rais wa Vietnam To Lam na mkewe Ngo Phuong Ly, wakipiga picha ya pamoja kabla ya mazungumzo.
(Picha na Xie Huanchi/Xinhua) |
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)