Lugha Nyingine
Rais Xi Jinping afanya mazungumzo na rais wa Vietnam To Lam (9)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 20, 2024
Agosti 19, Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) alifanya mazungumzo na Rais wa Vietnam To Lam, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha Vietnam (CPV) anayefanya ziara ya kiserikali nchini China katika Jumba Kuu la Mikutano ya Umma la Beijing. Picha hii inaonesha Rais wa China Xi Jinping na Rais wa Vietnam To Lam wakifanya mazungumzo na kunywa chai. (Picha na Xie Huanchi/Xinhua) |
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma