Rais Xi Jinping afanya mazungumzo na rais wa Vietnam To Lam (2)
|
Agosti 19, Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) alifanya mazungumzo na Rais wa Vietnam To Lam, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha Vietnam (CPV) anayefanya ziara ya kiserikali nchini China katika Jumba Kuu la Mikutano ya Umma la Beijing. Picha hii inaonesha Rais Xi Jinping wa China akiandaa hafla ya kumkaribisha Rais wa Vietnam To Lam katika uwanja wa nje wa mlango wa mashariki wa Jumba Kuu la Mikutano ya Umma la Beijing.
(Picha na Yue Yuewei/Xinhua) |
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)