Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) umepangwa kufanyika Beijing, China kuanzia kesho Jumatano Septemba 4 hadi siku ya Ijumaa Septemba 6 ambapo viongozi wakuu mbalimbali kutoka nchi za China na Afrika watahudhuria.
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Bw. Wang Yi jana Jumapili hapa Beijing amekutana kwa nyakati tofauti na Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Bw.
BEIJING - Viongozi wa nchi mbalimbali za Afrika wanafululiza kuwasili Beijing, Mji Mkuu wa China kwa kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) utakaofanyika kuanzia Septemba 4-6.
Mkutano wa viongozi wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) 2024 utafanyika mjini Beijing kuanzia tarehe 4 hadi 6 mwezi Septemba.