Lugha Nyingine
Mkutano wa kilele wa FOCAC wa 2024 kufanyika?Beijing kuanzia kesho Jumatano Septemba 4
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 03, 2024
Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) umepangwa kufanyika Beijing, China kuanzia kesho Jumatano Septemba 4 hadi siku ya Ijumaa Septemba 6 ambapo viongozi wakuu mbalimbali kutoka nchi za China na Afrika watahudhuria.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma