Lugha Nyingine
Mkutano wa kilele wa FOCAC wa 2024 kufanyika?Beijing kuanzia kesho Jumatano Septemba 4 (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 03, 2024
Mapambo hayo ya maua kwa ajili ya Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) yako kwenye Eneo la Mashariki la Beijing, China Agosti 29, 2024. (Xinhua/Ren Chao) |
Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) umepangwa kufanyika Beijing, China kuanzia kesho Jumatano Septemba 4 hadi siku ya Ijumaa Septemba 6 ambapo viongozi wakuu mbalimbali kutoka nchi za China na Afrika watahudhuria.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma