Lugha Nyingine
Wilaya ya Luochuan, Kaskazini Magharibi mwa China yashuhudia msimu wa kilele wa mauzo ya tufaha (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 08, 2025
Wafanyakazi wakifanya kazi kwenye mstari wa uzalishaji katika kampuni ya matunda iliyoko Wilaya ya Luochuan, Mkoa wa Shaanxi, kaskazini-magharibi mwa China, Januari 6, 2025. (Xinhua/Zhang Bowen) |
Hivi karibuni, Wilaya ya Luochuan katika Mkoa wa Shaanxi, kaskazini-magharibi mwa China imeshuhudia msimu wa kilele wa mauzo ya tufaha. Wilaya hiyo iko kwenye Uwanda wa Loess, ina ardhi ya kufaa kwa upandaji wa tufaha. Mwaka 2024, uzalishaji wa tufaha katika Wilaya ya Luochuan ulifikia tani takriban milioni 1.14.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma