久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Picha: Mrithi wa Ngoma ya jadi ya Reba ya Xizang

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 07, 2025
Picha: Mrithi wa Ngoma ya jadi ya Reba ya Xizang
Watu wakicheza Ngoma ya Reba katika Mji wa Chido wa Wilaya ya Dengqen, Qamdo, Mkoa unaojiendesha wa?Xizang, kusini-magharibi mwa China, Januari 5, 2025. (Picha na Tenzin Nyida/ Xinhua)

Ani, mwenye umri wa miaka 60, ni mrithi wa Ngoma ya Jadi ya Reba. Ngoma ya Reba ni aina moja ya ngoma, ambayo imeunganisha maonesho ya michezo ya sanaa, ikijumuisha usimulizi wa hadithi, uimbaji, dansi na sarakasi. Mwaka 2006, ngoma hiyo imewekwa kwenye orodha ya kundi la kwanza la Mali ya urithi wa utamaduni usioshikika wa China. Ani alijifunza Ngoma ya Reba kutoka kwa mama yake alipokuwa na umri wa miaka 14, na amefanya juhudi kubwa kwa miaka 46 ili kupata ujuzi kamili wa michezo hiyo ya ngoma . Katika miaka ya hivi karibuni, ametoa mafunzo kwa zaidi ya wanafunzi 100 ili kuhifadhi ngoma hii ya jadi. Anatumaini wanafunzi wake wataweza kupeleka ngoma hii kwenye majukwaa mengi zaidi, ili watazamaji wengi zaidi wataweza kuhisi mvuto na haiba yake ya kipekee.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>