Lugha Nyingine
Siku ya Mwaka Mpya yaadhimishwa kote China (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 02, 2025
Watu wakitazama maandamano ya kukaribisha Mwaka Mpya mjini Shanghai, mashariki mwa China, Januari 1, 2025. (Xinhua/Wang Xiang) |
Watu katika sehemu mbalimbali kote nchini China kama walivyofanya watu wa nchi mbalimbali duniani kote wamejiburudisha kwa shughuli mbalimbali, kusherehekea siku ya kwanza ya mwaka 2025 jana Jumatano, Januari 1 ambayo ilikuwa siku ya mapumziko.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma