Lugha Nyingine
Siku ya Mwaka Mpya yaadhimishwa kote China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 02, 2025
Watu wakitembelea jumba la sanaa mjini Chengdu, Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China, Januari 1, 2025. (Xinhua/Xu Bingjie) |
Watu katika sehemu mbalimbali kote nchini China kama walivyofanya watu wa nchi mbalimbali duniani kote wamejiburudisha kwa shughuli mbalimbali, kusherehekea siku ya kwanza ya mwaka 2025 jana Jumatano, Januari 1 ambayo ilikuwa siku ya mapumziko.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma