Lugha Nyingine
Siku ya Mwaka Mpya yaadhimishwa kote China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 02, 2025
Wasanii wa michezo ya jadi wakifanya maonesho ya kusimama kwenye magong katika mtaa wa kitamaduni wa kale mjini Tianjin, kaskazini mwa China, Januari 1, 2025. (Xinhua/Sun Fanyue) |
Watu katika sehemu mbalimbali kote nchini China kama walivyofanya watu wa nchi mbalimbali duniani kote wamejiburudisha kwa shughuli mbalimbali, kusherehekea siku ya kwanza ya mwaka 2025 jana Jumatano, Januari 1 ambayo ilikuwa siku ya mapumziko.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma