久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Hohhot, Mji maarufu wa kihistoria wa China kwenye Njia ya Kale ya kusafirisha Chai (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 30, 2024
Hohhot, Mji maarufu wa kihistoria wa China kwenye Njia ya Kale ya kusafirisha Chai
Picha na Zhao Mengyue/People's Daily Online

Mji wa Hohhot wa Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, China uliokaribia Mlima Daqing upande wa kaskazini na kukaribia Mto Manjano upande wa kusini, historia ya ujenzi wake imekuwa na zaidi ya miaka 2,400.

Mji wa Hohhot uko kwenye njia muhimu ya usafirishaji tangu enzi za kale. Wakati wa Enzi za Ming na Qing, ulikuwa kituo cha kijeshi na kibiashara na makutano muhimu ya mjini kwenye Njia ya Kale ya Farasi kusafirisha Chai (Tea Horse Road). Mawasiliano na Mafungamano katika tamaduni za mbugani, kilimo, na Mto Manjano yalionekana wazi hapa yakiunda utamaduni jumuishi ulio wa kipekee wa eneo la mpakani la kaskazini.

Hohhot ni mji wa mapumziko ya majira ya joto usio na baridi kali wakati wa majira ya baridi na usio na joto kali wakati wa majira ya joto. Ikolojia yake nzuri na mazingira ya kupendeza vimekuwa vikivutia watalii zaidi wa China na wa kigeni.

Kuna Hekalu la Dazhao, Hekalu la Wuta, Ofisi ya Jenerali na maeneo mengine ya vivutio vya utalii na mabaki ya kale katika mahali hapa. Ni umbali wa kilomita 20 tu kwa safari ya gari kutoka mji huo hadi Mbuga ya Chi Lechuan. Kwa hiyo, inaitwa "Mbuga ndani ya Mji".

Katika miaka ya hivi karibuni, shughuli za uchezaji muziki na ngoma wakati wa usiku na utalii wa kupiga kambi zilizoanzishwa mjini humo zimewavutia vijana zaidi.

Usiku wa majira ya joto mjini Hohhot ni wenye kujaa hali motomoto na pilika nyingi. Katika Mtaa wa wa Kuanxiangzi, kuna vyakula mbalimbali maalum vya kienyeji kama vile maandazi ya Shaomai , chai ya maziwa, kitoweo cha nyama ya kondoo, na vyakula mbalimbali vya maziwa vinawavutia watu wengi walaji. Mtaa wa Kale wa Saishang unaonyesha haiba ya kale ya Hohhot, mji maarufu nje ya Ukuta Mkuu wa China.

Mji Qingcheng unaopendeza unakukaribisha!

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>