Lugha Nyingine
Watu waliokwama kwenye makazi yaliyokumbwa na mafuriko wahamishwa katika Mkoa wa Hunan, China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 30, 2024
Picha hii iliyopigwa kutoka ndani ya helikopta Julai 29, 2024 ikionyesha baadhi ya sehemu zilizokumbwa na maafa katika Mji wa Zixing, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China. (Xinhua/Chen Zhenhai) |
Helikopta kadhaa zilitumwa siku ya Jumatatu kupeleka maji ya kunywa, mchele, mboga mboga, dawa na mahitaji mengine muhimu ya kila siku katika baadhi ya maeneo yaliyokumbwa na maafa katika Mji wa Zixing, Mkoa wa Hunan katikati mwa China na kuhamisha watu kwa mafanikio waliokuwa wamekwama kwenye makazi yaliyokumbwa na mafuriko.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma