Lugha Nyingine
Shindano la tambi chachu za unga wa mchele lafanyika Kusini mwa China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 29, 2024
LINGSHUI - Tambi chachu za unga wa mchele za Lingshui ni tambi maarufu za kienyeji katika Mji wa Lingshui, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China na ziliorodheshwa kuwa mali ya urithi wa mkoa wa utamaduni usioshikika Mwaka 2009. Hivi karibuni shindano la kupika tambi limefanyika katika mji huo wa Lingshui ili kutangaza shughuli za tambi chachu hizo za unga wa mchele.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma