Lugha Nyingine
Sikukuu ya Jadi ya Mwenge ya Watu wa Kabila la Wayi yafanyika Kusini Magharibi mwa China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 25, 2024
Sikukuu ya Mwenge ya watu wa kabila la Wayi imekuwa ikisherehekewa katika Wilaya ya Butuo ya Mkoa wa Sichuan, Kusini-Magharibi mwa China kuanzia Julai 21 hadi 24, ambapo zimefanyika shughuli mbalimbali zikiwemo maonyesho ya mavazi, sherehe ya kupiga kambi kuzunguka mioto, mashindano ya michezo ya jadi ya kikabila, kucheza ngoma na mashindano ya urembo wa jadi ili kuvutia watembeleaji na watalii kutoka sehemu mbalimbali nchini China.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma