久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Kazakhstan yamkaribisha Rais wa China kwa ndege zikitoa moshi mwekundu na wa njano

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 04, 2024
Kazakhstan yamkaribisha Rais wa China kwa ndege zikitoa moshi mwekundu na wa njano
Rais Xi Jinping wa China akishiriki hafla ya kumkaribisha iliyoandaliwa na Rais wa Kazakhstan Kassym-Jomart Tokayev mjini Astana, Kazakhstan, Julai 3, 2024. (Xinhua/Pang Xinglei)

ASTANA - Rais wa Kazakhstan Kassym-Jomart Tokayev aliandaa hafla ya kumkaribisha Rais wa China Xi Jinping ambaye yuko ziarani nchini humo, ambapo ndege sita za kivita, zikiwa zimeruka juu ya ikulu ya rais, ziliacha nyuma moshi wa rangi nyekundu na njano, ambazo ni rangi za bendera ya Taifa la China.

Rais Xi aliwasili Astana siku ya Jumanne kwa ziara ya kiserikali nchini Kazakhstan, ambako pia atahudhuria Mkutano wa 24 wa Baraza la Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai.

Ndege tatu za kivita za Jeshi la Anga la Kazakhstan ziliruka angani na kuisindikiza ndege ya Rais Xi baada ya ndege hiyo kuingia kwenye anga ya nchi hiyo. Tokayev alifanya hafla kubwa ya makaribisho kwenye uwanja wa ndege.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>