<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Madaraja ya kale ya mawe yahifadhiwa vizuri katika Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 28, 2024
    Madaraja ya kale ya mawe yahifadhiwa vizuri katika Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China
    Picha hii iliyopigwa tarehe 26 Juni 2024 ikionyesha mandhari ya Daraja la Wanshan katika Kijiji cha Shebei cha Mji mdogo wa Xin'an, Wilaya ya Deqing, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China. (Picha na Xie Shangguo/Xinhua)

    Wilaya ya Deqing wa Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China ni nyumbani kwa madaraja saba ya kale ya mawe ambayo yameorodheshwa kuwa maeneo muhimu ya urithi wa kitamaduni chini ya ulinzi wa kiwango cha serikali ya China. Katika miaka ya hivi karibuni, wilaya hiyo inafanya juhudi kubwa katika ulinzi na ukarabati wa madaraja hayo ya kale ya mawe, huku ikihimiza kuunganisha rasilimali zake hizo za urithi pamoja na utalii wa kitamaduni na ziara za utafiti.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av