Lugha Nyingine
China yarusha satelaiti ya mawasiliano kwa ajili ya Pakistan (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 31, 2024
Roketi Long March-3B iliyobeba satelaiti ya mawasiliano ya kazi mbalimbali kwa ajili ya Pakistan ikirushwa kutoka Kituo cha Urushaji Satelaiti cha Xichang katika Mkoa wa Sichuan, Kusini Magharibi mwa China, Mei 30, 2024. (Picha na Liu Yanan/Xinhua) |
XICHANG - China imerusha kwa mafanikio satelaiti ya mawasiliano ya kazi mbalimbali kwa ajili ya Pakistan kwa kutumia roketi ya Long March-3B kwenye Kituo cha Urushaji Satelaiti cha Xichang katika mkoa wa Sichuan kusini magharibi mwa China majira ya saa 2:12 usiku wa siku ya Alhamisi.
Satelaiti hiyo imeingia kwenye obiti yake iliyopangwa.
Urushaji huo ni safari ya 524 ya mfululizo wa roketi za Long March.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma