Lugha Nyingine
China yarusha satelaiti ya mawasiliano kwa ajili ya Pakistan (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 31, 2024
XICHANG - China imerusha kwa mafanikio satelaiti ya mawasiliano ya kazi mbalimbali kwa ajili ya Pakistan kwa kutumia roketi ya Long March-3B kwenye Kituo cha Urushaji Satelaiti cha Xichang katika mkoa wa Sichuan kusini magharibi mwa China majira ya saa 2:12 usiku wa siku ya Alhamisi.
Satelaiti hiyo imeingia kwenye obiti yake iliyopangwa.
Urushaji huo ni safari ya 524 ya mfululizo wa roketi za Long March.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma