久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

China yarusha satelaiti ya mawasiliano kwa ajili ya Pakistan (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 31, 2024
China yarusha satelaiti ya mawasiliano kwa ajili ya Pakistan
Roketi Long March-3B iliyobeba satelaiti ya mawasiliano ya kazi mbalimbali kwa ajili ya Pakistan ikirushwa kutoka Kituo cha Urushaji Satelaiti cha Xichang katika Mkoa wa Sichuan, Kusini Magharibi mwa China, Mei 30, 2024. (Picha na Liu Yanan/Xinhua)

XICHANG - China imerusha kwa mafanikio satelaiti ya mawasiliano ya kazi mbalimbali kwa ajili ya Pakistan kwa kutumia roketi ya Long March-3B kwenye Kituo cha Urushaji Satelaiti cha Xichang katika mkoa wa Sichuan kusini magharibi mwa China majira ya saa 2:12 usiku wa siku ya Alhamisi.

Satelaiti hiyo imeingia kwenye obiti yake iliyopangwa.

Urushaji huo ni safari ya 524 ya mfululizo wa roketi za Long March.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>