<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Mbinu za kikemikali na kibaolojia zasaidia kurejesha vitabu vya kale katika hali ya awali kaskazini mwa China

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) April 24, 2024
    Mbinu za kikemikali na kibaolojia zasaidia kurejesha vitabu vya kale katika hali ya awali kaskazini mwa China
    Gao Xuemiao akifunga jalada la kitabu cha kale kilichorejeshwa katika hali yake ya awali kwenye Maktaba ya Tianjin mjini Tianjin, Kaskazini mwa China, Aprili 22, 2024. (Xinhua/Sun Fanyue)

    TIANJIN – Katika Maktaba ya Tianjin katika Mji wa Tianjini, Kaskazini mwa China vinahifadhiwa vitabu vya kale 590,000, na maktaba hiyo imekuwa ikifanya kazi ya kurejesha vitabu hivyo vya kale katika hali ya awali kwa zaidi ya miaka 70, ambapo Gao Xuemiao mwenye umri wa miaka 38 ambaye ni mtaalam wa kwanza wa kurejesha vitabu vya kale katika hali ya awali kwa taaluma ya kemia tangu kuanzishwa kwa maktaba hiyo Mwaka 1978, anaongoza timu ya kurejesha vitabu hivyo vya kale katika hali ya awali kwenye maktaba hiyo.

    Siku hizi, kazi ya kurejesha vitabu vya kale katika hali ya awali imechukuliwa zaidi kuwa mchakato wa kuhusisha taaluma mbalimbali. Kuingizwa kwa mbinu za kikemikali na kibaolojia kunaufanya mchakato huo kuwa wa njia ya kisayansi zaidi.

    "Tunafanya uchanganuzi wa kikemikali kabla ya mchakato wa kurejesha vitabu vya kale katika hali ya awali, ili kupata karatasi inayooana, na kupanga mipango mahsusi kwa kila kitabu cha kale," Gao amesema.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>