<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Watu washerehekea sikukuu ya kumwagiana maji Mkoani Yunnan, Kusini Magharibi mwa China

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) April 15, 2024
    Watu washerehekea sikukuu ya kumwagiana maji Mkoani Yunnan, Kusini Magharibi mwa China
    Picha hii iliyopigwa tarehe 12 Aprili 2024 ikionyesha hafla ya ufunguzi wa sherehe ya sikukuu ya kumwagiana maji katika Mji wa Mangshi, Eneo linalojiendesha la Makabila ya Wadai na Wajingpo la Dehong, Mkoa wa Yunnan, Kusini Magharibi mwa China. (Xinhua/Jiang Wenyao)

    Sikukuu ya kumwagiana maji inachukuliwa kuwa moja ya sherehe muhimu zaidi kwa watu wa Kabila la Wadai na Wade'ang katika Eneo linalojiendesha la Makabila ya Wadai na Wajingpo la Dehong mkoani Yunnan, China. Watu wanamwagiana maji wakati wa sikukuu hiyo, wakitakiana furaha, baraka na mafanikio mema.

    Sikukuu hiyo ya mwaka huu imefanyika Ijumaa na Jumamosi mwishoni mwa wiki iliyopita.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av