Lugha Nyingine
Watu washerehekea sikukuu ya kumwagiana maji Mkoani Yunnan, Kusini Magharibi mwa China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 15, 2024
Sikukuu ya kumwagiana maji inachukuliwa kuwa moja ya sherehe muhimu zaidi kwa watu wa Kabila la Wadai na Wade'ang katika Eneo linalojiendesha la Makabila ya Wadai na Wajingpo la Dehong mkoani Yunnan, China. Watu wanamwagiana maji wakati wa sikukuu hiyo, wakitakiana furaha, baraka na mafanikio mema.
Sikukuu hiyo ya mwaka huu imefanyika Ijumaa na Jumamosi mwishoni mwa wiki iliyopita.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma