Lugha Nyingine
Watu nchini China wafanya shughuli za kukaribisha kwa furaha Mwaka Mpya (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 29, 2023
Wafanyakazi wakining'iniza Taa Nyekundu za kijajdi kwenye miti kando ya barabara katika Wilaya ya Qianxi, Mkoa wa Hebei, China Desemba 27. (Picha na Liu Mancang/Xinhua) |
Mwaka mpya umekaribia, mitaa na vichochoro vimepambwa na mapambo ya kupendeza, na watu wanakaribisha mwaka mpya wa 2024 kwa shughuli mbalimbali.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma