Lugha Nyingine
Watu nchini China wafanya shughuli za kukaribisha kwa furaha Mwaka Mpya (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 29, 2023
Watoto wa Shule ya Chekechea ya Majaribio ya Ganyu katika Mji wa Lianyungang, Mkoa wa Jiangsu nchini China wakifanya shughuli ya sanaa, Desemba 27. (Picha na Si Wei/Xinhua) |
Mwaka mpya umekaribia, mitaa na vichochoro vimepambwa na mapambo ya kupendeza, na watu wanakaribisha mwaka mpya wa 2024 kwa shughuli mbalimbali.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma