久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Israel yashambulia kambi ya wakimbizi iliyoko katikati ya Gaza na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 70

(CRI Online) Desemba 25, 2023

Habari kutoka kituo cha televisheni cha Palestina imesema wapalestina wasiopungua 70 wameuawa kwenye shambulizi kutoka angani lililofanywa na Israel siku ya Jumapili kwenye kambi ya wakimbizi ya al-Maghazi iliyoko katikati ya Ukanda wa Gaza.

Msemaji wa Wizara ya Afya huko Gaza Bw. Ashraf Al-Qedra alitoa taarifa akisema, idadi ya vifo inaweza kuongezeka kwa kuwa shambulizi hilo lililenga sehemu yenye wakazi wengi. Aliongeza kuwa jeshi la Israel linashambulia barabara kuu za mkoa wa kati zinazopitia maeneo ya kambi, hali ambayo inazuia usafiri wa magari ya wagonjwa na magari mengine ya raia kufika maeneo yaliyolengwa.

Habari zinasema wengi waliouawa ni wanawake na watoto, na kwa sasa ni vigumu kwa hospitali za huko kuwapokea majeruhi wengi zaidi. Licha ya kambi ya wakimbizi ya al-Maghazi, jeshi la Israel lilishambulia kambi ya al-Bureij iliyoko katikati ya Gaza na mji wa kusini wa Khan Younis.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>