久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Sarakasi za kijadi zang'ara katika Mji wa Wuqiao, mkoani Hubei, Kaskazini mwa China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 20, 2023
Sarakasi za kijadi zang'ara katika Mji wa Wuqiao, mkoani Hubei, Kaskazini mwa China
Mwanasarakasi akifanya onyesho la sarakasi katika ukumbi wa ndani ya Bustani ya Ulimwengu wa Sarakasi ya Wuqiao katika wilaya ya Wuqiao, Cangzhou, mkoani Hebei, kaskazini mwa China. (Picha na Zhao Zhao/Tovuti ya Gazeti la Umma)

Wilaya ya Wuqiao huko Cangzhou, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China, imejumuisha ufundishaji na maonyesho ya sarakasi katika utamaduni wake tangu miaka ya 1990.

Ili kukuza aina hii ya sanaa ya kijadi, wilaya hiyo ilianzisha Shule ya Sanaa ya Sarakasi ya Wuqiao Hebei na Ulimwengu wa Sarakasi ya Wuqiao. Taasisi hizi zimezalisha na kukuza idadi kubwa ya watendaji katika uwanja huu.

Maonyesho ya sarakasi ya Wuqiao ni mfano mzuri wa uonyeshaji wa vipaji mbalimbali, vinavyojumuisha michezo 486 katika kategoria 7. Hizi zinahusisha ustadi wa mwili, ustadi wa kutumia vifaa, ustadi wa kupanda farasi n.k. Maonyesho mengi yanayofanyika hapa yamepata Tuzo ya Sarakasi ya Chrysanthemum ya Dhahabu ya China, ambayo ni kilele cha kutambuliwa nchini China kwa sarakasi.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>