Lugha Nyingine
Misemo iliyonukuliwa na Rais wa China Xi Jinping (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 07, 2023
Kwa kumnukuu Mheshimiwa Mandela, "Kuzaliwa upya kwa Afrika sasa ni zaidi ya wazo. Mbegu zake zinapandwa katika jumuiya za kikanda ambazo tunashughulika kujenga na katika bara kwa ujumla." Kwa juhudi zisizo na kikomo, Afrika Kusini na Bara lote la Afrika lilipata maisha mapya katika karne iliyopita. Nina imani kuwa karne hii itashuhudia ustawishaji wa Afrika Kusini na Bara zima la Afrika. Tushirikiane kwa zama mpya za urafiki kati ya China na Afrika Kusini.
—— Makala ya Rais wa China Xi Jinping iliyotiwa saini naye ambayo ilichapishwa kwenye vyombo vya habari vya Afrika Kusini vya The Sunday Independent, Sunday Tribune na Weekend Argus mnamo Julai 22, 2018
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma