Lugha Nyingine
Njia ya reli ya utalii yavutia watalii huko Honghe, Kusini Magharibi mwa China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 05, 2023
Katika kipindi fulani huko nyuma ikiwa njia muhimu ya usafirishaji chuma kwa wenyeji, reli ya Gejiu-Bisezhai-Lin'an-Shiping huko Honghe sasa ni kivutio kikuu cha watalii kwa wageni. Tokea Mwaka 2015, Maeneo ya Jianshui (Lin'an kwa jina la zamani) na Shiping yamekuwa yakitumia reli hii ya kihistoria na kuingiza uhai mpya katika shughuli zao za utalii. Sasa kufurahia safari ya treni ya kutazama mandhari kando ya njia hii ya reli ya watalii ni jambo la lazima kwa wageni wanaokuja hapa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma