Lugha Nyingine
Bustani ya asilia ya wanyama na mimea huko Muli, Sichuan (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 07, 2022
Utamaduni wa makabila ya Wilaya ya Muli ni wa aina mbalimbali na kufurahisha sana. Picha ikionesha ngoma ya jadi ya kabila la Wanaxi tarafa ya E’ya. (Mpiga picha:Zhang Liang) |
Wilaya ya Muli iko kaskazini magharibi mwa jimbo linalojiendesha la kabila la wayi la mji wa Liangshan mkoani Sichuan, na eneo la misitu la wilaya hiyo linafikia asilimia 69.86, ambayo inasifiwa kuwa “hazina ya mazingira ya asili” na “bustani ya asilia ya wanyama na mimea”.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma