Lugha Nyingine
Maziwa ya chumvi yenye rangi mbalimbail yaonekana Yuncheng, Shanxi
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 31, 2022
Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa ya majira ya mpukutiko, maziwa ya chumvi yanaonekana kuwa ya rangi mbalimbali huko Yuncheng, Mkoa wa Shanxi wa China, jinsi yalivyo kama kibao cha uchoraji wa picha, ambapo mandhari ya huko yanawavutia sana watu. (Picha/Xue Jun)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma