久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Moduli ya maabara ya kituo cha anga ya juu cha China Mengtian yakamilika, tayari kurushwa kwenye anga ya juu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 26, 2022
Moduli ya maabara ya kituo cha anga ya juu cha China Mengtian yakamilika, tayari kurushwa kwenye anga ya juu
Chombo kilichobeba kwa pamoja moduli ya maabara ya kituo cha anga za juu cha China, Mengtian na roketi yake ya kubeba Long March-5B Y4 kikisafirishwa hadi kituo cha kurushia roketi cha Eneo la Kurusha vyombo kwenye Anga ya juu la Wenchang, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, Oktoba 25, 2022. Kwa pamoja, moduli ya maabara ya kituo cha anga ya juu cha China, Mengtian na roketi yake ya kubebea ya Long March-5B Y4 vimesafirishwa hadi eneo la urushaji, Idara ya Anga ya Juu ya China imesema Jumanne. Moduli ya maabara itatumwa kwenye obiti kwa wakati unaofaa katika siku za usoni. Kabla ya urushaji wake, ukaguzi wa ufanisi na majaribio ya pamoja yatafanywa kama ilivyopangwa. (Picha na Tu Haichao/Xinhua)

WENCHANG - Kwa pamoja, moduli ya maabara ya kituo cha anga za juu cha China, Mengtian na roketi yake ya kubebea ya Long March-5B Y4 vimesafirishwa hadi eneo la urushaji, Idara ya Safari ya Anga ya Juu ya China imesema Jumanne.

Moduli ya maabara itatumwa kwenye obiti kwa wakati unaofaa katika siku za usoni. Kabla ya urushaji wake, ukaguzi wa ufanisi na majaribio ya pamoja yatafanywa kama ilivyopangwa.

Mitambo na vifaa katika Eneo la Urushaji Vyombo kwenye Anga ya Juu la Wenchang katika Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China viko katika hali nzuri, na idara zote zinazohusika na ujumbe huo zinaendelea na maandalizi ya mwisho, shirika hilo limesema katika taarifa yake.

Vifaa vya kisayansi katika moduli ya Mengtian, sehemu ya pili ya maabara ya kituo cha anga ya juu cha China, vitatumika kwa ajili ya kuchunguza maikrograviti na kufanya majaribio ya fizikia ya maji, sayansi ya vifaa, sayansi ya mwako na fizikia ya kimsingi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>