Lugha Nyingine
Shughuli za Utalii zafufuka kwenye Kisiwa cha Bali
Hili ni eneo la Matuta ya Mpunga la Delangera katika Kisiwa cha Bali Indonesia, (picha ilipigwa na drone Desemba 18).
Hili ni eneo la Matuta ya Mpunga la Delangera katika Kisiwa cha Bali Indonesia, (picha ilipigwa na drone Desemba 18).
Huu ni Ufukwe wa Nusa Dua wa Kisiwa cha Bali Indonesia, (picha ilipigwa na drone Desemba 18).
Huu ni Ufukwe wa Nusa Dua wa Kisiwa cha Bali Indonesia, (picha ilipigwa na drone Desemba 18).
Kwa mujibu wa takwimu za Idara ya Takwimu ya Mkoa wa Bali wa Indonesia, kutokana na kuathiriwa na maambukizi ya virusi vya korona, toka Januari hadi Oktoba mwaka huu, Kisiwa cha Bali kilipokea watalii 45 tu wa kimataifa. Lakini kutokana na likizo ya Mwaka Mpya kukaribia, dalili za ufufukaji zinaonekana siku hadi siku kwenye shughuli za utalii nchini Indonesia.
Mpiga picha: Xu Qin (mwandishi wa habari wa Shirika la Habari la China, Xinhua)
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma