Lugha Nyingine
Tutazame pamoja mvua ya vimondo vya Gemini
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 15, 2021
Hii ni picha inayoonesha njia za nyota zilizopigwa chini ya Mlima Yulong mijini Lijiang mkoani Yunnan katika usiku wa Desemba 13. |
Mvua ya vimondo vya Gemini ikiwa moja ya mvua tatu kubwa zaidi za vimondo za Kizio cha Kaskazini na mvua kubwa ya vimondo ya mwisho ya mwaka huu, ilifikia kilele chake Desemba 14.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma