Lugha Nyingine
Kimbunga chatokea kwenye eneo la kati la Marekani na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 80
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 13, 2021
Picha hii ikionesha hali katika Jimbo la Kentucky, Marekani baada ya kukumbwa na kimbunga, picha ambayo ilipigwa Desemba 11. |
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Marekani Tarehe 11, majimbo sita ya eneo la kati la Marekani yalikumbwa na kimbunga kwa mara zaidi ya 30 usiku wa Tarehe 10, na hadi sasa zimesababisha vifo vya zaidi ya watu 80 .
Mpiga picha: Carolina Sanchez
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma