Lugha Nyingine
Flamingo Watembea kwenye Ziwa Qarun
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 13, 2021
Picha hizi zilizopigwa Ijumaa ya wiki iliyopita zikionesha flamingo kwenye Ziwa Qarun, mkoa wa Fayoum, Misri.
Katika majira ya baridi, kundi kubwa la flamingo waliruka na kufika Ziwa Qarun ili kutafuta chakula ili kushinda siku za baridi .
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma